• HABARI MPYA

    Saturday, July 13, 2019

    YANGA WAKIPASHA KAMBINI MOROGORO TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA AS VITA AGOSTI 4 TAIFA

    Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini katika kambi yao ya Morogoro kujiandaa na msimu mpya, ambao wataufungua kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Agosti 4 Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam katika kilele cha Siku ya Mwananchi



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA WAKIPASHA KAMBINI MOROGORO TAYARI KWA MCHEZO DHIDI YA AS VITA AGOSTI 4 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top