• HABARI MPYA

  Thursday, July 04, 2019

  FAINALI NI PERU NA BRAZIL COPA AMERICA JUMAPILI

  Edison Flores na Victor Yotun wakishangilia baada ya wote kuifungia Peru katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Chile kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Copa America usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Arena do Gremio, Porto Alegre, Rio Grande do Sul nchini Brazil. Bao lingine lilifungwa na Paolo Guerrero na kwa ushindi huo, Peru itakutana na Brazil kwenye fainali Jumapili wakati Chile itawania nafasi ya tatu dhidi ya Argentina PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FAINALI NI PERU NA BRAZIL COPA AMERICA JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top