• HABARI MPYA

  Sunday, July 14, 2019

  GARDIEL MICHAEL KATIKA SEMINA YA KLABU YAKE MPYA, SIMBA SC

  Beki mpya wa Simba SC, Gardiel Michael akiwa na wachezaji wenzake wapya wakati wa Semina ya ndani ya wachezaji na benchi la ufundi kuhusu historia ya klabu hiyo, kanuni, maadili, desturi, nidhamu na malengo ya timu kwa msimu wa 2019/2020  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GARDIEL MICHAEL KATIKA SEMINA YA KLABU YAKE MPYA, SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top