• HABARI MPYA

    Wednesday, July 10, 2019

    TFF YAINGIA MKATABA NA FOUNTAIN ACADEMY KUWALEA CHIPUKIZI

    Kaimu Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani (kulia) na Mkurugenzi wa Fountain Gate Academy Japhet Makau (kushoto) wakisaini mkataba wa ushirikiano kuwatunza wachezaji wa timu za taifa za vijana chini ya umri wa miaka 13 (U13), U15 na U17 katika shule ya Fountain Gate iliyopo mjini Dodoma, ambako watakua wakipatiwa elimu na mafunzo ya soka 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TFF YAINGIA MKATABA NA FOUNTAIN ACADEMY KUWALEA CHIPUKIZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top