• HABARI MPYA

  Friday, July 19, 2019

  MATTHIJS DE LIGT AKABIDHIWA JEZI NAMBA 4 JUVENTUS

  Beki Mholanzi, Matthijs de Ligt akiwa ameshika jezi namba 4 ya Juventus baada ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na timu hiyo kwa dau la Pauni Milioni 67.8 kutoka Ajax ya kwao, Uholanzi kufuatia kushawishiwa na Cristiano Ronaldo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATTHIJS DE LIGT AKABIDHIWA JEZI NAMBA 4 JUVENTUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top