Wachezaji wa Tottenham Hotspur, Kieran Trippier (kushoto) na Harry Winks (kulia) wakimpongeza Raheem Sterling wa Manchester City baada ya kuifungia England mabao mawili dakika za 16 na 38 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Hispania kwenye mchezo wa Kundi la Nne michuano ya Ligi ya Mataifa ya Ulaya. Bao la pili la England lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 29 wakati ya Hispani yalifungwa na Paco Alcacer dakika ya 58 na Sergio Ramos dakika ya saba ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Who's leading the race for the Golden Shoe?
-
As the halfway mark of the 2025/26 campaign approaches, BBC Sport takes a
look at the frontrunners for this season's European Golden Shoe award.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment