• HABARI MPYA

  Sunday, January 22, 2017

  KWA UTULIVU NA UPENDO VIJANA WAKIFUATILIA SOKA

  Mashabiki vijana wadogo wakifuatilia mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) juzi jioni Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kati ya Ashanti United na Yanga SC zote za Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-1   
  Kulia bila shaka ni shabiki wa Yanga, je huyo wa kushoto kwa kuwa jezi ya bluu sawa na Ashanti anaweza shabiki wa timu hiyo?
  Vijana wakifuatilia kwa makini mchezo huo jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KWA UTULIVU NA UPENDO VIJANA WAKIFUATILIA SOKA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top