• HABARI MPYA

    Thursday, July 17, 2014

    VAN GAAL AKABIDHIWA JEZI NAMBA MOJA MAN UNITED

    Namba 1: Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal akikabidhiwa jezi nambari moja na gwiji wa Mashetani hao Wekundu, Sir Bobby Charlton wakati wa kutambulishwa kwake leo makao makuu ya klabu hiyo, Carrington.Man in charge: Van Gaal insisted United were the biggest club in the world
    Van Gaal amesema United ilikuwa klabu kubwa dunianiLegends past... and future: Van Gaal exchanges a handshake with Old Trafford icon Charlton
    Van Gaal akizungumza na Charlton
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN GAAL AKABIDHIWA JEZI NAMBA MOJA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top