• HABARI MPYA

    Thursday, July 17, 2014

    TONI KROOS ALIVYOTAMBULISHWA REAL MADRID, APEWA UZI NAMBA NANE...PEREZ ASIMAMIA ZOEZI YEYE MWENYEWE BERNABEU



    Furaha tupu: Rais wa Real Madrid, Florentino Perez akimkabidhi jezi mamba nane kiungo wa kimataifa wa Ujerumani, Toni Kroos wakati wa utambulisho wake kufuatia usajili wake uliogharimu Pauni Milioni 24 kutoka Bayern Munich ya Ujerumani.
    Eye on the ball: Kroos does some kick-ups at the Santiago Bernabeu
    Done deal: Kroos holds up his No 8 shirt at his unveiling in Madrid
    Kroos alionyesha vita vyake kidogo mbele ya malefu ya mashabiki Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kukabidhiwa jezi namba nane
    Wanted: The German applauds the Madrid fans that attended his unveiling at the Santiago Bernabeu
    Mjerumani huyo akipungia mashabiki Santiago Bernabeu
    Superstar: The World Cup-winning midfielder enjoys the adulation of Real Madrid's fans
    Mashabiki wamempokea kwa furaha mshindi huyo wa Kombe la Dunia
    Great shakes: Toni Kroos (left) meets Real Madrid boss Carlo Ancelotti as he signs for the Spanish giamts
    Toni Kroos (kushoto) akisalimiana na kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti
    Check-up: The Germany international gives a thumbs up during his medical at Real Madrid
    Hapa anafanyiwa vipimo vya afya 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TONI KROOS ALIVYOTAMBULISHWA REAL MADRID, APEWA UZI NAMBA NANE...PEREZ ASIMAMIA ZOEZI YEYE MWENYEWE BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top