• HABARI MPYA

    Thursday, July 03, 2014

    UZI MPYA WA MAN UNITED UMETULIA SANA TU

    JEZI mpya za Manchester United zimevuja kwenye mitandao ya kijamii - huku picha za jezi hizo mpya zikiwa na nembo ya mdhamini mpya, Chevrolet.
    Wakati Wekundu hao wanajiandaa kutambulisha jezi zao mpya maarufu nyekundu Jumatatu, tayari mashabiki wanaweza kuziona mapema zilivyobuniwa.
    Nembo ya Chevrolet - zimetokea katika jezi hizo kama sehemu ya dili la udhamini wa rekodi, wa Pauni Milioni.
    53.
    Mwanzo mpya: United itakuwa na kocha mpya na jezi mpya yenye nembo ya mdhamini mpyaAuthentic: The new images claim to show the Reds new shirt, complete with close-up shots
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UZI MPYA WA MAN UNITED UMETULIA SANA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top