SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeitupilia mbali rufaa ya mshambuliaji Luis Suarez na Shirikisho la soka la nchi yake (AUF) dhidi ya adhabu yake ya miezi minne kutojihusisha na masuala ya soka.
Ashabu hiyo ilitolewa na FIFA baada ya mshambuliaji huyo wa Liverpool kumng'ata beki Giorgio Chiellini w Italia kwenye Fainali za Kombe la Dunia nchini Brazil.



.png)
0 comments:
Post a Comment