Mwanzo mpya: Beki wa zamani wa kimataifa wa England, Ashley Cole akiwa na viongozi wa AS Roma ya Italia mjini Rome, Italia leo baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo kufuatia kumaliza Mkataba wake Chelsea
Kimeeleweka: Ashley Cole akisaini Mkataba wa miaka miwili Roma
Cole akijipiga picha na jezi ya Roma
Kimeeleweka: Ashley Cole akisaini Mkataba wa miaka miwili Roma
Cole akijipiga picha na jezi ya Roma



.png)
0 comments:
Post a Comment