• HABARI MPYA

    Monday, June 11, 2012

    KAPTENI KASEJA ANAVYOISHI NA WACHEZAJI WENZAKE STARS

    Nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja wa kwanza kulia, akiwa na Mbwana Samatta na Christopher Edward kambi ya timu hiyo, Tansoma Hotel, eneo la Gerezani, Dar es Salaam usiku huu. Stars inajiandaa na mechi dhidi ya Msumbiji mjini Maputo, mwisho mwa wiki kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika mwakani Afrika Kusini. Timu hiyo inatarajiwa kuondoka Dar es Salaam Ijumaa na mechi itapigwa Jumapili. 

    Kaseja, kulia akiwa na Edward Christopher na Samatta kwenye lifti Tansoma Hotel usiku huu, wanapanda kwenda vyumbani mwao baada ya chakula cha usiku. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAPTENI KASEJA ANAVYOISHI NA WACHEZAJI WENZAKE STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top