TAARIFA ambazo BIN ZUBEIRY imezipata kutoka Goal.com zinasema kwamba, David Beckham ameachwa kwenye kikosi cha Uingereza kitakachocheza michuano ya Olimpiki, na Ryan Giggs, Craig Bellamy na Micah Richards wamebahatika kujumuishwa. Tunafuatilia zaidi ili kuthibitisha.


.png)
0 comments:
Post a Comment