• HABARI MPYA

    Thursday, June 28, 2012

    HUYU NDIYE KOCHA MPYA YANGA, ANATUA DAR JUMAPILI


    Na Prince Akbar
    KOCHA mpya wa Yanga kijana mwenye umri wa miaka 39, Tom Saintfiet (pichani kushoto) anatarajiwa kuwasili Dar es Salaam Jumapili, tayari kuanza kazi.
    Habari za uhakika kutoka Yanga, zimesema kwamba huyo ndiye atarithi mikoba ya Mserbia Kosta Papic, baada ya jaribio la kumpata kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo kugonga mwamba.
    “Atawasili Jumapili, hapa ndio tunashughulikia tiketi yake,”alisema mtoa wa habari wetu kutoka Yanga, alipozungumza na BIN ZUBEIRY.
    WASIFU WAKE
    JINA KAMILITom Saintfiet
    KUZALIWA29 Machi 1973 (Miaka 39)
    ALIPOZALIWAMolUbelgiji
    NAFASI ALIYOCHEZAKiungo
    TIMU ALIZOCHEZEA
    MWAKATIMU

    K.V.C. Westerlo
    K.F.C. Lommel S.K.
    K.F.C. Verbroedering Geel
    TIMU ALIZOFUNDISHA
    1997-2001Lower Belgian Divisions
    2000F.C. Satelitte Abidjan
    2002-2003B71 Sandur
    2002-2003Stormvogels Telstar
    2003-2004Al-Gharafa Sports Club
    2004Qatar U-17
    2005-2006BV Cloppenburg
    2006-2007FC Emmen (Technical Director)
    2008RoPS
    2008-2010Namibia
    2010Zimbabwe
    2010-2011Shabab Al-Ordon
    2011Ethiopia

    MATAJI ALIYOTWAA

    • 2009 Mshindi wa kocha bora wa mwaka  (Namibia)
    • 2008 Kocha bora wa mwaka  (Namibia)
    • 2008-2010 Tuzo maalum kuifikisha Namibia nafasi ya 30 viwango vya FIFA
    • 2008+2009 Robo Fainali Kombe la  COSAFA  (Afrika Kusini)
    • 2005 Kufuzu Nusu Fainali Kombe la NFV(Ujerumani)
    • 2005 Kutwaa Kombe la McDonald (Ujerumani)
    • 2004 Nafasi ya Tatu (Medali ya Shaba) Michauno ya U17 Asia 2004 nchinu Japan, Septemba 2004. Kufuzu Kombe la Dunia 2005 U-17 
    • 2002 Mshindi wa pili katika Ligi  (Visiwa vya Faroe)

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUYU NDIYE KOCHA MPYA YANGA, ANATUA DAR JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top