Winga wa Real Madrid, Gareth Bale akiupitisha mpira juu ya kipa wa Real Sociedad, Geronimo Rulli kuifungia timu yake bao la tatu dakika ya 61 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji wao hao Uwanja wa Manispaaa ya Anoeta mjini Donostia-San Sebastian. Mabao mengine ya Real Madird yalifungwa na Borja Mayoral dakika ya 19 na Kevin Rodrigues aliyejifunga dakika ya 36 baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 28 katika mchezo huo wa La Liga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment