Wissam Ben Yedder akishangilia baada ya kufunga mabao yote matatu peke yake dakika 27, 38 na 83 kwa penalti katika ushindi wa Sevilla wa 3-0 dhidi ya Maribor kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla, Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment