• HABARI MPYA

    Showing posts with label SIMBA SC. Show all posts
    Showing posts with label SIMBA SC. Show all posts
    Monday, July 20, 2026
    Sunday, July 19, 2026
    SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI 'MKATA UMEME' KELVIN NASHON

    SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI 'MKATA UMEME' KELVIN NASHON

    KLABU ya Simba SC imemtambulisha kiungo Kelvin Nashon Naftali (25)kuwa mchezaji wake mpya kwanza kuelekea msimu ujao akijiunga na Wekundu ha...
    Saturday, July 04, 2026
    NI SIMBA SC WASHINDI WA KOMBE LA CRDB, AZAM YALALA 1-0 PEMBA

    NI SIMBA SC WASHINDI WA KOMBE LA CRDB, AZAM YALALA 1-0 PEMBA

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ushindi wa...
    Saturday, June 27, 2026
    MPANZU, OURA WAFUNGA SIMBA YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-0 MBWENI

    MPANZU, OURA WAFUNGA SIMBA YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-0 MBWENI

    VIGOGO Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    Wednesday, June 24, 2026
    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-0 UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-0 UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo...
    Saturday, June 20, 2026
    SIMBA SC YATINGA FAINALI KIBABE KOMBE LA CRDB, YAICHAPA COASTAL 4-0

    SIMBA SC YATINGA FAINALI KIBABE KOMBE LA CRDB, YAICHAPA COASTAL 4-0

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya...
    Wednesday, June 17, 2026
    MPANZU AFUNGA BAO PEKEE SIMBA YAILAZA MBEYA CITY 1-0 SOKOINE

    MPANZU AFUNGA BAO PEKEE SIMBA YAILAZA MBEYA CITY 1-0 SOKOINE

    VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa leo U...
    Sunday, June 14, 2026
    MPANZU NA LIBASSE GUEYE WAFUNGA SIMBA SC YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1 MWENGE

    MPANZU NA LIBASSE GUEYE WAFUNGA SIMBA SC YAICHAPA PAMBA JIJI 2-1 MWENGE

    VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja...
    Sunday, May 24, 2026
    SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

    SIMBA SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

    TIMU ya Simba SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC usiku huu Uwanja wa...
    Thursday, May 21, 2026
    SIMBA SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU

    SIMBA SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU

    TIMU ya Simba SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Coastal Union usiku huu...
    Sunday, May 17, 2026
    SIMBA SC YAICHAPA TRA 4-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB KIBABE

    SIMBA SC YAICHAPA TRA 4-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB KIBABE

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baa...
    Thursday, May 14, 2026
    CHAMA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA MASHUJAA FC 3-0 PALE PALE KIGOMA

    CHAMA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA MASHUJAA FC 3-0 PALE PALE KIGOMA

    VIGOGO, Simba SC wamefufua matumaini ya ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC...
    Sunday, May 10, 2026
    CHAMA AFUNGA TENA SIMBA SC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 4-0 MWENGE

    CHAMA AFUNGA TENA SIMBA SC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 4-0 MWENGE

    WENYEJI, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    Wednesday, May 06, 2026
    CHAMA AFUNGA BAO PEKEE SIMBA SC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0

    CHAMA AFUNGA BAO PEKEE SIMBA SC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Mej...
    Sunday, May 03, 2026
    YANGA SC YATOKA NYUMA MABAO MAWILI NA KUTOA SARE 2-2 NA SIMBA MBWENI

    YANGA SC YATOKA NYUMA MABAO MAWILI NA KUTOA SARE 2-2 NA SIMBA MBWENI

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wametoa sare ya kufungana mabao 2-2 na watani wao, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku...
    Wednesday, April 29, 2026
    NI SIMBA SC MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO 2026

    NI SIMBA SC MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO 2026

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano 2026 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao, Yanga SC usiku huu Uwanja wa New Ama...
    Sunday, April 26, 2026
    NI SIMBA NA YANGA MBILI WIKI MOJA ZANZIBAR NA BARA

    NI SIMBA NA YANGA MBILI WIKI MOJA ZANZIBAR NA BARA

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Mlandege FC usiku huu Uwanj...
    Thursday, April 23, 2026
    MWALIMU 'GOMEZ' AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MWALIMU 'GOMEZ' AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo usiku hui Uwanja wa New A...
    Sunday, April 19, 2026
    SIMBA SC YAIRARUA NAMUNGO FC 3-1 RUANGWA

    SIMBA SC YAIRARUA NAMUNGO FC 3-1 RUANGWA

    VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top