Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kukamiklisha hat trick yake kutokana na mabao yake ya dakika za 39, 62 na 67 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, APOEL kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Neo GSP mjini NicosiaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment