Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza mwenzao, Philippe Coutinho baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika ya 32 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Spartak Moscow kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moskva. Spartak Moscow walitangulia kwa bao la Fernando dakika ya 23, kabla ya refa kukataa bao la Sadio Mane dakika mbili baadaye akidai alikuwa amezidi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment