Fabio Coentrao wa Sporting CP (chini kulia) akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kumzuia kufunga katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon, Ureno. Hata hivyo, Barcelona ilishinda 1-0, bao pekee la Sebastian Coates aliyejifunga dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment