Dimitri Oberlin (kulia) akiifungia Benfica moja ya mabao yake mawili jana katika ushindi wa 5-0 dhidi ya FC Basle kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa eSt. Jakob-Park mjini Basel. Oberlin alifunga dakika za 20 na 69, wakati mabao mengine yalifungwa na Michael Lang dakika ya pili, Ricky van Wolfswinkel kwa penalti dakika ya 59 na Blas Riveros dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment