• HABARI MPYA

    Showing posts with label KEN GOLD. Show all posts
    Showing posts with label KEN GOLD. Show all posts
    Friday, May 30, 2025
     NI AZAM FC MABINGWA WA LIGI YA VIJANA U20

    NI AZAM FC MABINGWA WA LIGI YA VIJANA U20

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gat...
    Wednesday, May 28, 2025
    AZAM FC NA FOUNTAIN GATE ZAINGIA FAINALI LIGI YA VIJANA U20

    AZAM FC NA FOUNTAIN GATE ZAINGIA FAINALI LIGI YA VIJANA U20

    TIMU za Azam FC na Fountain Gate zitakutana katika Fainali ya Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 kesho kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja w...
    Monday, April 21, 2025
    COASTAL UNION YAICHAPA KEN GOLD 2-1 MKWAKWANI NA KUISHUSHA DARAJA

    COASTAL UNION YAICHAPA KEN GOLD 2-1 MKWAKWANI NA KUISHUSHA DARAJA

    WENYEJI, Coastal Union wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwa...
    Monday, April 07, 2025
    DODOMA JIJI ILIVYOITANDIKA KENGOLD 3-0 JANA UWANJA WA JAMHURI

    DODOMA JIJI ILIVYOITANDIKA KENGOLD 3-0 JANA UWANJA WA JAMHURI

    WENYEJI, Dodoma Jiji jana waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Jamhur...
    Thursday, April 03, 2025
    AZAM FC YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-0 SOKOINE

    AZAM FC YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-0 SOKOINE

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Soko...
    Wednesday, March 05, 2025
    KENGOLD YATOA SARE 2-2 NA MASHUJAA SOKOINE

    KENGOLD YATOA SARE 2-2 NA MASHUJAA SOKOINE

    WENYEJI, Kengold wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja w...
    Thursday, February 27, 2025
    JKT TANZANIA YATOA SARE NA KENGOLD, 1-1 MBWENI

    JKT TANZANIA YATOA SARE NA KENGOLD, 1-1 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Meja ...
    Saturday, February 22, 2025
    KENGOLD YAAMBULIA SARE KWA KMC, ZAFUNGANA 1-1 SOKOINE

    KENGOLD YAAMBULIA SARE KWA KMC, ZAFUNGANA 1-1 SOKOINE

    WENYEJI, Kengold wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jiji...
    Tuesday, February 18, 2025
    KENGOLD YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SOKOINE, LAKINI BADO INASHIKA MKIA

    KENGOLD YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 SOKOINE, LAKINI BADO INASHIKA MKIA

    WENYEJI, Kengold wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya Uwanja wa Sokoine...
    Friday, February 14, 2025
    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA KENGOLD, 1-1 MWINYI

    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA KENGOLD, 1-1 MWINYI

    WENYEJI, Tabora United wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ali H...
    Monday, February 10, 2025
    KENGOLD YAICHAPA FOUNTAIN GATE MABAO 2-0 UWANJA WA SOKOINE

    KENGOLD YAICHAPA FOUNTAIN GATE MABAO 2-0 UWANJA WA SOKOINE

    WENYEJI, Kengold wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoi...
    Wednesday, February 05, 2025
    MZIZE NA DUBE KILA MMOJA APIGA MBILI  YANGA YASHINDA 6-1

    MZIZE NA DUBE KILA MMOJA APIGA MBILI YANGA YASHINDA 6-1

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo U...
    Tuesday, December 24, 2024
    SINGIDA BLACK STARS YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-1 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-1 LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wametoka nyuman na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kengold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Ba...
    Wednesday, December 18, 2024
    ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD 2-0 MWENGE

    ATEBA APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA KEN GOLD 2-0 MWENGE

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold ya Mbeya  katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya   jion...
    Sunday, December 15, 2024
    NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA KEN GOLD 3-2 SOKOINE

    NAMUNGO FC YATOKA NYUMA KWA MABAO MAWILI NA KUICHAPA KEN GOLD 3-2 SOKOINE

    TIMU ya Namungo FC imetoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ...
    Sunday, December 01, 2024
    PAMBA JIJI YAILAMBA KEN GOLD KIDUDE KIRUMBA SHUGHULI YA MPOLE

    PAMBA JIJI YAILAMBA KEN GOLD KIDUDE KIRUMBA SHUGHULI YA MPOLE

    BAO pekee la mshambuliaji George Mpole Mwaigomole dakika ya 72 limeipa Pamba Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top