Mario Balotelli akikimbia na mpira baada ya kuifungia timu yake, Nice kwa penalti dakika ya 39 katika sare ya 2-2 na Angers usiku wa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice katika mchezo wa Ligue 1 ya Ufaransa. Bao lingine la Nice Ismael Traore alijifunga dakika ya 76, wakati mabao ya Angers yamefungwa na Mateo Pavlovic dakika ya 12 na Karl Toko Ekambi dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment