• HABARI MPYA

    Showing posts with label YANGA SC. Show all posts
    Showing posts with label YANGA SC. Show all posts
    Monday, July 20, 2026
    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC

    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC

    KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji chipukizi, Hussein Juma Mihambo (19) kutoka Mashujaa FC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu uj...
    Sunday, July 19, 2026
    YANGA SC YAMSAJILI WINGA CHIPUKIZI WA FOUNTAIN GATE MWENYE KIPAJI

    YANGA SC YAMSAJILI WINGA CHIPUKIZI WA FOUNTAIN GATE MWENYE KIPAJI

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamemtambulisha winga chipukiz, Juma Issa Abushiri ‘Chuga Boy’ (18) kutoka Fountain Gate FC kuwa mchezaji wao...
    Monday, July 06, 2026
    RAIS DK SAMIA AMJULIA HALI PACOME HOSPITALI YA AGA KHAN

    RAIS DK SAMIA AMJULIA HALI PACOME HOSPITALI YA AGA KHAN

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo amemtembelea na kumpa pole kiungo Muivory Coast wa Yanga SC...
    Wednesday, July 01, 2026
    Tuesday, June 30, 2026
    NI YANGA SC MABINGWA WA LIGI KUU MARA TANO MFULULIZO, MARA YA PILI

    NI YANGA SC MABINGWA WA LIGI KUU MARA TANO MFULULIZO, MARA YA PILI

    TIMU ya Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania jioni ya leo U...
    Saturday, June 27, 2026
    OKELLO APIGA HAT TRICK YANGA SC YAICHAPA TRA UNITED 3-0 MWENGE

    OKELLO APIGA HAT TRICK YANGA SC YAICHAPA TRA UNITED 3-0 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamelikaribia taji la tano mfululizo la Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TRA...
    Wednesday, June 24, 2026
    PACOME ZOUZOUA ANG'ARA YANGA SC YAICHAPA AZAM FC 3-0 ZANZIBAR

    PACOME ZOUZOUA ANG'ARA YANGA SC YAICHAPA AZAM FC 3-0 ZANZIBAR

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara nuliofanyika U...
    Sunday, June 21, 2026
    AZAM FC PUNGUFU YAICHAPA YANGA SC 3-2 KUTINGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    AZAM FC PUNGUFU YAICHAPA YANGA SC 3-2 KUTINGA FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya ...
    Thursday, June 18, 2026
    PACOME NA DEPU WAFUNGA YANGA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0

    PACOME NA DEPU WAFUNGA YANGA YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-0

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate jioni ...
    Saturday, June 13, 2026
    YANGA SC YAMEREMETA UGENINI LIGI KUU, YAILAZA MASHUJAA 2-0 KIGOMA

    YANGA SC YAMEREMETA UGENINI LIGI KUU, YAILAZA MASHUJAA 2-0 KIGOMA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara j...
    Monday, May 25, 2026
    OKELLO APIGA MBILI TENA YANGA YAIBAMIZA NAMUNGO FC 3-1 MWENGE

    OKELLO APIGA MBILI TENA YANGA YAIBAMIZA NAMUNGO FC 3-1 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC usiku huu...
    Friday, May 22, 2026
    YANGA SC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 3-0 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

    YANGA SC YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 3-0 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars ...
    Saturday, May 16, 2026
    YANGA SC YAICHAPA JKT 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    YANGA SC YAICHAPA JKT 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benk...
    Friday, May 15, 2026
    Wednesday, May 13, 2026
    DODOMA JIJI WAVUNJA REKODI YA YANGA, WAICHAPA 3-2 SINGIDA

    DODOMA JIJI WAVUNJA REKODI YA YANGA, WAICHAPA 3-2 SINGIDA

    TIMU ya Dodoma Jiji imetoka nyuma na kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC T...
    Saturday, May 09, 2026
    OKELLO AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 MWENGE

    OKELLO AFUNGA MAWILI YANGA YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku hu...
    Wednesday, May 06, 2026
    DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 CHAMAZI MWISHO

    DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 CHAMAZI MWISHO

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa leo Uwan...
     OKELLO AFUNGA BAO MUHIMU YANGA SC YAICHAPA KMC 1-0 MWENGE

    OKELLO AFUNGA BAO MUHIMU YANGA SC YAICHAPA KMC 1-0 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
    Sunday, May 03, 2026
    YANGA SC YATOKA NYUMA MABAO MAWILI NA KUTOA SARE 2-2 NA SIMBA MBWENI

    YANGA SC YATOKA NYUMA MABAO MAWILI NA KUTOA SARE 2-2 NA SIMBA MBWENI

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wametoa sare ya kufungana mabao 2-2 na watani wao, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top