YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC
KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji chipukizi, Hussein Juma Mihambo (19) kutoka Mashujaa FC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao. Anakuwa mchezaji wa pili tu mpya baada ya chipukizi mwingine, winga Juma Issa Abushiri ‘Chuga Boy’ (18) kutoka Fountain Gate FC.
0 comments:
Post a Comment