• HABARI MPYA

    Showing posts with label ZANZIBAR. Show all posts
    Showing posts with label ZANZIBAR. Show all posts
    Saturday, June 13, 2026
    Saturday, January 10, 2026
    AZAM FC YAMSAJILI HAALAND WA ZENJI

    AZAM FC YAMSAJILI HAALAND WA ZENJI

    KLABU ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji, Aimar Hafidh Abubakar ‘Haaland’ kutoka Mlandege FC ya Zanzibar.
    Monday, January 05, 2026
    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Simba SC imetinga Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fufuni FC ya Pemba katika mchezo wa mwis...
    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MSHAMBULIAJI Clement Francis Mzize ameanza mazoezi leo visiwani Zanzibar baada ya kuwa nje tangu Septemba mwaka jana kufuatia kuumia goti. Y...
    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-1 dhid ya URA ya Uganda  jioni ya leo katika mchezo...
    Sunday, January 04, 2026
    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga SC wameanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya KVZ katika mchezo wa Kundi C jioni ya ...
    Wednesday, December 31, 2025
    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    TIMU za Azam FC na Singida Black Stars zimetoa sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa New...
    MLANDEGE WAVULIWA KOMBE LA MAPINDUZI MAPEMA TU

    MLANDEGE WAVULIWA KOMBE LA MAPINDUZI MAPEMA TU

    TIMU ya Mlandege SC imevuliwa Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na URA ya Uganda katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo Uwanja wa ...
    Friday, December 19, 2025
    AZAM FC NA SIMBA ZATENGANISHWA MAKUNDI KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC NA SIMBA ZATENGANISHWA MAKUNDI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Azam FC imepangwa Kundi A katika Kombe la Mapinduzi Zanzibar pamoja na mabingwa watetezi, Mlandege SC, Singida Black Stars na URA ya...
    Thursday, May 22, 2025
    RAIS DK MWINYI AWALIPIA SIMBA GHARAMA ZA UWANJA WA AMAAN

    RAIS DK MWINYI AWALIPIA SIMBA GHARAMA ZA UWANJA WA AMAAN

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi ametoa gharama zote za Uwanja wa New Amaan Complex, Dar...
    Tuesday, May 20, 2025
    BINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KUPEWA 'MWALI' MPYA KABISA

    BINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KUPEWA 'MWALI' MPYA KABISA

    BINGWA wa Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu atapewa Kombe jipya kama ilivyo katika Ligi ya Mabingwa Afrika, ambayo yatazinduliwa Alhamisi...
    Monday, May 19, 2025
    SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

    SIMBA SC YAAFIKI KUCHEZA ZANZIBAR MARUDIANO NA BERKANE

    KLABU ya Simba SC imeafiki kucheza mechi ya marudiano ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RSB Berkane ya Morocco Uwanja wa New...
    Thursday, May 01, 2025
    YANGA WAICHAPA JKU 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA MUUNGANO 2025

    YANGA WAICHAPA JKU 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA MUUNGANO 2025

    TIMU ya Yanga imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano, michuano maalum ya kuazimisha sherehe za miaka 61 ya Muungano ya Muungano wa Tanganyika ...
    Tuesday, April 29, 2025
    YANGA NAO WAINGIA FAINALI KWA MATUTA PEMBA

    YANGA NAO WAINGIA FAINALI KWA MATUTA PEMBA

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Zimamoto kufuatia ...
    Monday, April 28, 2025
    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya JKU imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku wa leo Uwanja wa Gombani, ...
    Saturday, April 26, 2025
    AZIZ KI AFUNGA YANGA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZIZ KI AFUNGA YANGA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga wamefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi, michuano hiyo maalum ya kuazimisha miaka 61 ya Muu...
    Friday, April 25, 2025
    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM jioni ya leo Uwanja wa Gomba...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top