Islam Slimani (kushoto) akifumua shuti kuifungia Leicester City bao la pili dakika ya 78 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup jana Uwanja wa King Power. Bao lingine la Leicester limefungwa na Shinji Okazaki dakika ya 65 na Liverpool inatolewa mapema tu katika mashindano hayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment