Marouane Fellaini akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 35 na 49 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Juan Mata dakika ya tatu na Romelu Lukaku dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment