• HABARI MPYA

    Showing posts with label AZAM. Show all posts
    Showing posts with label AZAM. Show all posts
    Thursday, July 10, 2025
    Friday, May 30, 2025
     NI AZAM FC MABINGWA WA LIGI YA VIJANA U20

    NI AZAM FC MABINGWA WA LIGI YA VIJANA U20

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gat...
    Wednesday, May 28, 2025
    AZAM FC NA FOUNTAIN GATE ZAINGIA FAINALI LIGI YA VIJANA U20

    AZAM FC NA FOUNTAIN GATE ZAINGIA FAINALI LIGI YA VIJANA U20

    TIMU za Azam FC na Fountain Gate zitakutana katika Fainali ya Ligi ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 kesho kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja w...
    Tuesday, April 29, 2025
    Monday, April 28, 2025
    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya JKU imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku wa leo Uwanja wa Gombani, ...
    Friday, April 25, 2025
    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM jioni ya leo Uwanja wa Gomba...
    Saturday, April 19, 2025
    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 4-2 KAITABA

    AZAM FC YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KAGERA SUGAR 4-2 KAITABA

    TIMU ya Azam FC imetoka nyuma na kushinda mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu ...
    Wednesday, April 16, 2025
    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga watamenyana na wenyeji, KVZ katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Muungano Aprili 25 kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa New ...
    Tuesday, April 08, 2025
    KHALID AUCHO KUWAKOSA AZAM FC NA ATAKUWA NJE WIKI TATU

    KHALID AUCHO KUWAKOSA AZAM FC NA ATAKUWA NJE WIKI TATU

    KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho atakuwa nje kwa wiki tatu baada ya jana kuumia nyama za paja wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara...
    Sunday, April 06, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAIKANDA AZAM FC 1-0 UWANJA WA LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAIKANDA AZAM FC 1-0 UWANJA WA LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
    Thursday, April 03, 2025
    AZAM FC YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-0 SOKOINE

    AZAM FC YAICHIMBIA KABURI KENGOLD, YAICHAPA 2-0 SOKOINE

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Soko...
    Friday, March 21, 2025
    Thursday, March 06, 2025
    MSINDO APIGA MBILI AZAM FC YAICHARAZA PRISONS 4-0 CHAMAZI

    MSINDO APIGA MBILI AZAM FC YAICHARAZA PRISONS 4-0 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja...
    Sunday, March 02, 2025
    Thursday, February 27, 2025
    AZAM FC YABANWA CHAMAZI, SARE 1-1 NA NAMUNGO

    AZAM FC YABANWA CHAMAZI, SARE 1-1 NA NAMUNGO

    WENYEJI, Azam FC wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin...
    Monday, February 24, 2025
    ZIDANE SERERI AZIMA SHANGWE ZA SIMBA DAKIKA ZA JIONI

    ZIDANE SERERI AZIMA SHANGWE ZA SIMBA DAKIKA ZA JIONI

    TIMU za Simba SC na Azam FC zimegawana pointi moja moja baada ya sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ...
    Saturday, February 22, 2025
    MECHI YA SIMBA NA AZAM SASA KUCHEZWA MKAPA SAA 1:00 USIKU

    MECHI YA SIMBA NA AZAM SASA KUCHEZWA MKAPA SAA 1:00 USIKU

    MCHEZO wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya Simba SC na Azam FC umehamishwa kutoka Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top