• HABARI MPYA

    Showing posts with label HABARI MOTOMOTO. Show all posts
    Showing posts with label HABARI MOTOMOTO. Show all posts
    Monday, July 20, 2026
    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC

    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC

    KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji chipukizi, Hussein Juma Mihambo (19) kutoka Mashujaa FC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu uj...
    Sunday, July 19, 2026
    SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI 'MKATA UMEME' KELVIN NASHON

    SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI 'MKATA UMEME' KELVIN NASHON

    KLABU ya Simba SC imemtambulisha kiungo Kelvin Nashon Naftali (25)kuwa mchezaji wake mpya kwanza kuelekea msimu ujao akijiunga na Wekundu ha...
    NI ENGLAND WASHINDI WA TATU KOMBE LA DUNIA 2026

    NI ENGLAND WASHINDI WA TATU KOMBE LA DUNIA 2026

    TIMU ya England imefanikiwa kumaliza nafasi ya Tatu Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 6-4 dhidi ya Ufaransa usiku wa kuamkia leo Uwan...
    YANGA SC YAMSAJILI WINGA CHIPUKIZI WA FOUNTAIN GATE MWENYE KIPAJI

    YANGA SC YAMSAJILI WINGA CHIPUKIZI WA FOUNTAIN GATE MWENYE KIPAJI

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamemtambulisha winga chipukiz, Juma Issa Abushiri ‘Chuga Boy’ (18) kutoka Fountain Gate FC kuwa mchezaji wao...
    Saturday, July 18, 2026
    Thursday, July 16, 2026
    Wednesday, July 15, 2026
    KIPRE JUNIOR AREJEA AZAM FC KUTOKA MC ALGIERS YA ALGERIA

    KIPRE JUNIOR AREJEA AZAM FC KUTOKA MC ALGIERS YA ALGERIA

    WINGA Muivory Coast, Kipré Tiagori Emmanuel Junior Zunon ‘Kipre Junior’ amejiunga tena na Azam FC akitokea MC Algiers ya Algeria. “Tunayo fu...
    HISPANIA YAICHAPA UFARANSA 2-0 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

    HISPANIA YAICHAPA UFARANSA 2-0 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Hispania imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ufaransa usiku huu Uwanja wa AT&T ...
    Sunday, July 12, 2026
    ARGENTINA YAIFUATA ENGLAND NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

    ARGENTINA YAIFUATA ENGLAND NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Argentina imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Uswisi katika mchezo uliodumu kw...
    JUDE BELLINGHAM AIPELEKA ENGLAND NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

    JUDE BELLINGHAM AIPELEKA ENGLAND NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya England imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dubai Banda ya ushindi wa mania 2-1 dhidi ya Norway isolines kuamkia  leo Uwanja...
    Saturday, July 11, 2026
    NYOTA WA BAFANA BAFANA NA MAMELODI SUNDOWNS, JAYDEN ADAMS AFARIKI DUNIA

    NYOTA WA BAFANA BAFANA NA MAMELODI SUNDOWNS, JAYDEN ADAMS AFARIKI DUNIA

    KIUNGO wa Kimataifa wa Afrika Kusini na Jayden Adams wa Mamelodi Sundowns amefariki dunia  leo na umri wa miaka 25, wiki chache tu baada ya ...
    HISPANIA YAICHAPA UBELGIJI 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

    HISPANIA YAICHAPA UBELGIJI 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Hispania imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ubelgiji usiku huu Uwanja wa SoFi ...
    Friday, July 10, 2026
    Wednesday, July 08, 2026

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top