Bondia Joseph Parker akifurahia na mkanda wake wa WBO uzito wa juu baada ya kuutetea kufuatia kumshinda Hughie Fury kwa pointi usiku wa jana ukumbi wa Manchester Arena katika pambano la raundi 12. Fury ni mpwa wa bingwa wa zamani wa dunia uzito wa juu kabisa, Tyson Fury ambaye alikuwepo Manchester Arena jana na akaleta fujo akidai kijana wake amedhulumiwa ushindi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment