Michy Batshuayi akitabasamu baada ya kukutana na wachezaji wa zamani wa Chelsea, Fernando Torres (kushoto) na Diego Costa (kulia) jana mjini Madrid baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Atletico Madrid usiku wa jana. Torres anachezea Atletico kwa sasa, wakati Costa anakamilisha utaratibu wa kurejea timu yake hiyo zamani kufuatia kutofautiana na kocha wa Chelsea, Antonio Conte PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment