Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 88 ikitoka nyuma kwa mabao 2-0 na kuilaza Swansea City 3-2 katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Liberty. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 69 na kipa Kristoffer Nordfeldt aliyejifunga dakika ya 78, wakati ya Swansea yamefungwa na Matt Grimes kwa penalti dakika ya 20 na Bersant Celina dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment