Month: May 2025
-
HABARI ZA NYUMBANI
SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA SIMBA SC 3-1 NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB
TIMU ya Singida Black Stars imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
NYOTA ANAYECHEZA SOKA YA KULIPWA AZERBAIJAN AITWA TAIFA STARS
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa Tanzania, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amemjumuisha kiungo Alphonce Mabula Msanga (21) anayechezea klabu…
Read More » -
HABARI ZA ULAYA
REAL MADRID YAACHANA NA BEKI JESUS VALLEJO BAADA YA MISIMU MITANO
KLABU ya Madrid imeachana na beki Jesús Vallejo Lázaro (28) baada ya misimu mitano ya kuwa na timu hiyo.Vallejo amekuwa…
Read More » -
HABARI ZA ASIA
AL ITTIHAD YAICHAPA QADSIAH 3-1 NA KUBEBA KOMBE LA MFALME SAUDI ARABIA
MBELE ya umati wa mashabiki 60,000, Al Ittihad jana ilitwaa taji la pili msimu huu baada ya kuifunga Al Qadsiah…
Read More » -
HABARI ZA ULAYA
LIVERPOOL YAMSAJILI BEKI MHOLANZI-MGHANA WA BAYER LEVERKUSEN
KLABU ya Liverpool FC ya England imemsajili beki Mholanzi mwenye asili ya Ghana, Jeremie Frimpong kutoka Bayer Leverkusen ya Ujerumani.Beki…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
CLARA AFUNGA MAWILI TWIGA STARS YAICHAPA DRC 2-1 CHAMAZI
TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
MUKWALA MCHEZAJI BORA, FADLU KOCHA BORA LIGI KUU MWEZI MEI
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Uganda, Steven Dese Mukwala ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara…
Read More » -
HABARI ZA KIMATAIFA
REAL MADRID YAMSAJILI TRENT ALEXANDER-ARNOLD MIAKA SITA
KLABU ya Real Madrid ya Hispania imesajili beki wa Kimataifa wa England, Trent John Alexander-Arnold (26) ambaye hucheza nafasi ya…
Read More » -
HABARI MOTOMOTO
TAIFA STARS KUSHIRIKI KOMBE LA COSAFA AFRIKA KUSINI
TIMU ya soka ya taifa Tanzania inatarajiwa kucheza michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) inayotarajiwa kuanza…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
JOSÉ LUIS RIVEIRO NDIYE KOCHA MPYA WA AHLY
KOCHA Mspaniola, José Luis Riveiro jana alitambulishwa kuwa Kocha mpya wa Al Ahly ya Misri wiki mbili tu baada ya…
Read More »