Winga wa Manchester City, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 90 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk usiku wa jana Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la kwanza la City lilifungwa na Kevin de Bruyne dakika ya 48, wakati Sergio Aguero alikosa penalti iliyookolewa na kipa Andriy Pyatov dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
All you need to know about Sports Personality of the Year 2025
-
BBC Sport has everything you need to know about BBC Sport's Personality of
The Year 2025 and how to vote.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment