• HABARI MPYA

    Showing posts with label KOMBE LA MUUNGANO. Show all posts
    Showing posts with label KOMBE LA MUUNGANO. Show all posts
    Wednesday, April 29, 2026
    NI SIMBA SC MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO 2026

    NI SIMBA SC MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO 2026

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano 2026 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao, Yanga SC usiku huu Uwanja wa New Ama...
    Sunday, April 26, 2026
    NI SIMBA NA YANGA MBILI WIKI MOJA ZANZIBAR NA BARA

    NI SIMBA NA YANGA MBILI WIKI MOJA ZANZIBAR NA BARA

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Mlandege FC usiku huu Uwanj...
    Saturday, April 25, 2026
    YANGA SC YAICHAPA AZAM FC 2-1 NA KUTINGA FAINALI MUUNGANO CUP

    YANGA SC YAICHAPA AZAM FC 2-1 NA KUTINGA FAINALI MUUNGANO CUP

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku hui Uwanja...
    Thursday, April 23, 2026
    MWALIMU 'GOMEZ' AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MWALIMU 'GOMEZ' AIPELEKA SIMBA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mafunzo usiku hui Uwanja wa New A...
    MLANDEGE FC YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    MLANDEGE FC YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Mlandege FC imetinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya us Hindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars jioni ya leo Uwan...
    Wednesday, April 22, 2026
    AZAM FC YAIFUATA YANGA SC NUSU FAINALI MUUNGANO CUP

    AZAM FC YAIFUATA YANGA SC NUSU FAINALI MUUNGANO CUP

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya us Hindi wa mabao 2-0 dhidi ya KVZ FC usiku huu Uwanja wa New ...
    Tuesday, April 21, 2026
    YANGA YASHINDA 4-0 NA KWENDA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    YANGA YASHINDA 4-0 NA KWENDA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Muembe Mak...
    Thursday, May 01, 2025
    YANGA WAICHAPA JKU 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA MUUNGANO 2025

    YANGA WAICHAPA JKU 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA MUUNGANO 2025

    TIMU ya Yanga imefanikiwa kutwaa Kombe la Muungano, michuano maalum ya kuazimisha sherehe za miaka 61 ya Muungano ya Muungano wa Tanganyika ...
    Tuesday, April 29, 2025
    YANGA NAO WAINGIA FAINALI KWA MATUTA PEMBA

    YANGA NAO WAINGIA FAINALI KWA MATUTA PEMBA

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Zimamoto kufuatia ...
    Monday, April 28, 2025
    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya JKU imefanikiwa kuingia Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC usiku wa leo Uwanja wa Gombani, ...
    Saturday, April 26, 2025
    AZIZ KI AFUNGA YANGA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZIZ KI AFUNGA YANGA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga wamefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi, michuano hiyo maalum ya kuazimisha miaka 61 ya Muu...
    Friday, April 25, 2025
    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM jioni ya leo Uwanja wa Gomba...
    ZIMAMOTO YAIREJESHA TANGA COASTAL UNION MAPEMA TU

    ZIMAMOTO YAIREJESHA TANGA COASTAL UNION MAPEMA TU

    TIMU ya Zimamoto imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastao Union ya Tanga jioni ya ...
    Thursday, April 24, 2025
    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya JKU imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Singida Black Stars jioni ya leo ...
    Tuesday, April 22, 2025
    KOMBE LA MUUNGANO SASA MECHI ZOTE NI DIMBA LA GOMBANI KISIWANI PEMBA

    KOMBE LA MUUNGANO SASA MECHI ZOTE NI DIMBA LA GOMBANI KISIWANI PEMBA

    MICHUANO maalum ya kuazimisha sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania tukufu Aprili 26, mwaka 1964 sasa itafanyika Uw...
    Sunday, April 28, 2024
    MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO

    MASHABIKI SIMBA WALIVYOJITOKEZA KUPOKEA KOMBE LA MUUNGANO

    MASHABIKI wa Simba SC waliojitokeza kuwapokea wachezaji wao baada ya kurejea kutoka Zanzíbar ambako jana walitwaa Kombe la Muungano kufuatia...
    RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA

    RAIS WA ZANZIBAR DK MWINYI ALIVYOWAKABIDHI SIMBA KOMBE NA ‘MAHELA’ YA MUUNGANO JANA

    RAIS wa Zanzíbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi Kombe la Muungano Nahodha wa Simba SC, Moha...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top