Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur katika ushindi wa 4-0 leo dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Ben Davies na Moussa Sissoko PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment