Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 77 kufuatia Isco kufunga la kwanza dakika ya 62 ikiilaza Celta Vigo 2-0 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu, Zinadine Zidane akirejea na mguu mzuri kwa ushindi katika mchezo wake wa kwanza baada ya kupewa tena mikoba ya kuionoa timu hiyo. Kwa ushndi huo, Real Madrid inafikisha pointi 54 katika mchezo wa 28, ikiendelea kushika nafasi ya tatu nyuma ya Atletico Madrid yenye pointi 56 za mechi 28 pia na Barcelona pointi 63 mechi 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Police investigate cricket star over allegations of sexual touching
-
NSW fast bowler Ross Pawson has been stood down by Cricket NSW after police
launched an investigation into allegations of sexual touching.
25 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment