• HABARI MPYA

    Showing posts with label CECAFA. Show all posts
    Showing posts with label CECAFA. Show all posts
    Saturday, December 06, 2025
    WASICHANA WANG’ARA, WAVULANA MAMBO MAGUMU MICHUANO YA SHULE CECAFA

    WASICHANA WANG’ARA, WAVULANA MAMBO MAGUMU MICHUANO YA SHULE CECAFA

    TIMU ya wasichana ya Tanzania imeshinda mechi zake zote mbili za Mashindano ya Ubingwa wa Shule za Afrika kanda ya CECAFA, wakati wavulana w...
    Friday, December 27, 2024
    SERENGTI BOYS YACHAPWA 2-1, UGANDA NDIO MABINGWA CECAFA U17

    SERENGTI BOYS YACHAPWA 2-1, UGANDA NDIO MABINGWA CECAFA U17

    WENYEJI, Uganda wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (CECAFA U17...
    Tuesday, December 24, 2024
    SERENGETI BOYS YAFUZU AFCON 2025 BAADA YA KUCHAPA SUDAN KUSINI 4-0

    SERENGETI BOYS YAFUZU AFCON 2025 BAADA YA KUCHAPA SUDAN KUSINI 4-0

    TIMU ya taifa ya vijana Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefanikiwa kukata tiketi ya AFCON U17 2025 nchini Morocco baada ...
    Sunday, October 20, 2024
    NGORONGORO HEROES MABINGWA MICHUANO YA CECAFA U20

    NGORONGORO HEROES MABINGWA MICHUANO YA CECAFA U20

    TANZANIA imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, CECAFA U20 baada ya ushindi w...
    Friday, October 18, 2024
    TANZANIA YAFUZU AFCON U20 BAADA YA KUITOA UGANDA MICHUANO YA CECAFA

    TANZANIA YAFUZU AFCON U20 BAADA YA KUITOA UGANDA MICHUANO YA CECAFA

    TANZANIA imekata tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...
    Sunday, October 13, 2024
    NGORONGORO HEROES YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U20

    NGORONGORO HEROES YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U20

    TANZANIA imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA U20 baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya...
    Thursday, October 10, 2024
    NGORONGORO HEROES YAICHAPA SUDAN 1-0 CECAFA U20

    NGORONGORO HEROES YAICHAPA SUDAN 1-0 CECAFA U20

    TANZANIA imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sudan katika mchezo wa Kundi A za Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA U20 ...
    Tuesday, October 08, 2024
    NGORONGORO YAZINDUKA CECAFA U20, YAITANDIKA DJIBOUTI 7-0

    NGORONGORO YAZINDUKA CECAFA U20, YAITANDIKA DJIBOUTI 7-0

    TANZANIA imefufua matumaini ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 mwakani kufuatia ushindi wa...
    Monday, August 26, 2024
    SIMBA QUEENS YATUPWA NJE LİGİ YA MABINGWA AFRİKA CECAFA

    SIMBA QUEENS YATUPWA NJE LİGİ YA MABINGWA AFRİKA CECAFA

    TIMU ya Simba Queens imetupwa nje ya kinyang’anyiro cha tiketi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-2 na Polisi Bullets ya K...
    Friday, August 23, 2024
    Wednesday, August 21, 2024
    SIMBA QUEENS YAWAPIGA WAGANDA 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI CECAFA

    SIMBA QUEENS YAWAPIGA WAGANDA 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI CECAFA

    TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhid...
    Monday, August 19, 2024
    ASHA MWALALA APIGA HAT-TRICK SIMBA QUEENS YASHINDA 5-0

    ASHA MWALALA APIGA HAT-TRICK SIMBA QUEENS YASHINDA 5-0

    TIMU ya Simba Queens imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya FAD ya Djibouti katik...
    Sunday, July 21, 2024
    RED ARROWS MABINGWA KOMBE LA KAGAME, AL HİLAL WA TATU

    RED ARROWS MABINGWA KOMBE LA KAGAME, AL HİLAL WA TATU

    TIMU ya Red Arrows ya Zambia imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame kwa ushindi w...
    Saturday, July 20, 2024
    NI APR NA RED ARROWS FAINALI KOMBE LA KAGAME 2024

    NI APR NA RED ARROWS FAINALI KOMBE LA KAGAME 2024

    TIMU za APR ya Rwanda na Red Arrows ya Zambia jana zilifanikiwa kutinga Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe...
    Wednesday, July 17, 2024
    RED ARROWS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA KAGAME

    RED ARROWS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA KAGAME

    BAO pekee la Anthony Shipanuka dakika ya 21 jana lilitosha kuipa ushindi wa 1-0 Red Arrows ya Zambia dhidi ya Telecom ya Djobouti katika mch...
    Monday, July 15, 2024
    COASTAL UNION YATOA DROO, SINGIDA YASHINDA KAGAME, LAKINI…

    COASTAL UNION YATOA DROO, SINGIDA YASHINDA KAGAME, LAKINI…

    TIMU ya Coastal Union imekamilisha mechi zake za Kundi A Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame kwa kutoa sare ...
    Sunday, July 14, 2024
    AL HILAL YAITANDIKA RED ARROWS 5-0, GOR MAHIA YAAMBULIA SARE KAGAME

    AL HILAL YAITANDIKA RED ARROWS 5-0, GOR MAHIA YAAMBULIA SARE KAGAME

    TIMU ya Al Hilal FC ya Sudan jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Red Arrows FC ya Zambia katika mchezo wa Kundi B Klabu Bingwa Af...
    Saturday, July 13, 2024
    APR YAENDELEZA UBABE KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA EL MERREIKH 1-0

    APR YAENDELEZA UBABE KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA EL MERREIKH 1-0

    BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Mauritania, Mamadou Sy dakika ya 70 jana lilitosha kuipa APR ya Rwanda ushindi wa 1-0 dhidi ya El ...
    Friday, July 12, 2024
    SINGIDA BIG STARS YAPIGWA TENA, YACHAPWA 3-1 NA SC VILLA

    SINGIDA BIG STARS YAPIGWA TENA, YACHAPWA 3-1 NA SC VILLA

    TIMU ya Singida Big Stars imejiweka kwenye nafasi ngumu ya kusonga mbele michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kom...
    JKU YAIKANDA COASTAL UNION 2-0 MWENGE KOMBE LA KAGAME

    JKU YAIKANDA COASTAL UNION 2-0 MWENGE KOMBE LA KAGAME

    TIMU ya JKU ya Zanzibar imefufua matumaini ya kufanya vyema kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top