• HABARI MPYA

    Showing posts with label GEITA GOLD. Show all posts
    Showing posts with label GEITA GOLD. Show all posts
    Sunday, June 07, 2026
    KAGERA SUGAR NA GEITA GOLD ZAREJEA LIGI KUU YA NBC TANZANIA BARA

    KAGERA SUGAR NA GEITA GOLD ZAREJEA LIGI KUU YA NBC TANZANIA BARA

    TIMU za Geita Gold FC na Kagera Sugar FC zimefanikiwa kurejea Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi katika mechi zao za leo kila mo...
    Friday, April 10, 2026
    Tuesday, May 21, 2024
    Friday, May 10, 2024
    MASAWE APIGA ZOTE MBILI NAMUNGO FC YAILAZA GEITA GOLD 2-0 RUANGWA

    MASAWE APIGA ZOTE MBILI NAMUNGO FC YAILAZA GEITA GOLD 2-0 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wameibukana ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majali...
    Saturday, May 04, 2024
    JKT TANZANIA YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MBWENI

    JKT TANZANIA YAICHAPA GEITA GOLD 2-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mej...
    Wednesday, May 01, 2024
    COASTAL UNION WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    COASTAL UNION WATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF

    TIMU ya Coastal Unión imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya ushindi wa 1-0 katika mchezo wa Robó Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzan...
    Sunday, April 21, 2024
    GEITA GOLD YAAMBULIA SULUHU KWA TABORA UNITED

    GEITA GOLD YAAMBULIA SULUHU KWA TABORA UNITED

    TIMU ya Tabora United imelazimishwa sare ya bila kufungana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ally H...
    Wednesday, April 17, 2024
    Saturday, April 13, 2024
    GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA MTIBWA SUGAR NYANKUMBU

    GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA MTIBWA SUGAR NYANKUMBU

    WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    Wednesday, April 03, 2024
    GEITA GOLD YATINGA ROBÓ FAINALI KOMBE KA TFF KWA KUICHAPA RHINO RANGERS 2-1

    GEITA GOLD YATINGA ROBÓ FAINALI KOMBE KA TFF KWA KUICHAPA RHINO RANGERS 2-1

    TIMU ya Geita Gold imefanikiwa kwenda Robó Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Rhin...
    Thursday, March 14, 2024
    AZIZ KI APIGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA GEITA GOLD 1-0 CHAMAZI

    AZIZ KI APIGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA GEITA GOLD 1-0 CHAMAZI

    BAO pekee la kiungo Mburkinabe, Stephane Aziz Ki dakika ya 28 limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ...
    Saturday, March 09, 2024
    GEITA GOLD YAWACHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI

    GEITA GOLD YAWACHAPA DODOMA JIJI 1-0 JAMHURI

    BAO la Valentino Mashaka dakika ya 90 na ushei limeipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
    Saturday, March 02, 2024
    Wednesday, February 28, 2024
    GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA KAGERA SUGAR NYANKUMBU

    GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA KAGERA SUGAR NYANKUMBU

    WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa sekondari...
    Monday, February 19, 2024
    IHEFU YAWAKANDA GEITA GOLD 2-1 PALE PALE NYANKUMBU

    IHEFU YAWAKANDA GEITA GOLD 2-1 PALE PALE NYANKUMBU

    TIMU ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    Friday, February 16, 2024
    AZAM FC YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 CHAMAZI

    AZAM FC YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Com...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top