Michy Batshuayi (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Chelsea dakika ya 90 na ushei wakiwalaza 2-1 wenyeji, Atletico Madrid katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania. Antoine Griezmann alianza kuwafungia wenyeji kwa penalti dakika ya 4-, baada ya beki David Luiz kumvuta jezi Lucas kwenye boksi, kabla ya Alvaro Morata kuisawazishia The Blues dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment