• HABARI MPYA

    Showing posts with label LIGI DARAJA LA KWANZA. Show all posts
    Showing posts with label LIGI DARAJA LA KWANZA. Show all posts
    Thursday, April 20, 2023
    FAINALI ZA LIGI DARAJA LA KWANZA KUWA LIVE AZAM TV

    FAINALI ZA LIGI DARAJA LA KWANZA KUWA LIVE AZAM TV

    KAMPUNI ya Azam TV itaonyesha Live mechi za Fainali ya Ligi Daraja la Kwanza zitakazofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es S...
    Saturday, January 01, 2022
    DTB YAENDELEZA UBABE CHAMPIONSHIP, YAICHAPA PAMBA 1-0 KIRUMBA

    DTB YAENDELEZA UBABE CHAMPIONSHIP, YAICHAPA PAMBA 1-0 KIRUMBA

    TIMU ya DTB imeendeleza wimbi la ushindi katika ya ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao, ijulikanayo kama Championsh...
    Sunday, December 26, 2021
    DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA 5-3

    DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA 5-3

    TIMU ya DTB imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ijulikanayo kama Championship baada ya us...
    Saturday, September 25, 2021
    Sunday, June 13, 2021
    PAN AFRICANS, GREEN WARRIORS, MASHUJAA NA DTB ZAPANDA DARAJA LA KWANZA, LIPULI YAZIDI 'KUPOTELEA MBALI'

    PAN AFRICANS, GREEN WARRIORS, MASHUJAA NA DTB ZAPANDA DARAJA LA KWANZA, LIPULI YAZIDI 'KUPOTELEA MBALI'

    MABINGWA wa zamani wa Tanzania, Pan African wamefanikiwa kurejea Ligi Daraja la Kwanza katika harakati zao kuisaka Ligi Kuu. Pan yenye maska...
    Monday, May 31, 2021
    FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA

    FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA

      KOCHA mzoefu, Freddy Felix Kataraiya Minziro ameteuliwa Kocha Bora wa msimu wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya kuiwezesha tim...
    Sunday, May 30, 2021
    GEITA GOLD NDIYO MABINGWA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUICHAPA MBEYA KWANZA 1-0 LEO UWANJA WA UHURU

    GEITA GOLD NDIYO MABINGWA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUICHAPA MBEYA KWANZA 1-0 LEO UWANJA WA UHURU

     TIMU ya Geita Gold imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika Fainali leo ...
    PAMBA SC NA TRANSIT CAMP ZAPANGIWA WAPINZANI VITA YA KUWANIA KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO

    PAMBA SC NA TRANSIT CAMP ZAPANGIWA WAPINZANI VITA YA KUWANIA KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO

    MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Muungano, Pamba FC ya Mwanza itamenyana na timu itakayomaliza nafasi ya 13 kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bar...
    Saturday, May 29, 2021
    PAMBA YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUITANDIKA KEN GOLD 4-1 LEO UWANJA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

    PAMBA YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUITANDIKA KEN GOLD 4-1 LEO UWANJA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

     MABINGWA wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pamba SC wamefanikiwa kufuzu hatua ya kuwania kupanda Ligi Kuu msimu ujao baada ya u...
    Friday, May 14, 2021
    TFF YAZIONYA TIMU ZA DARAJA LA KWANZA KUTOPANGA MATOKEO KATIKA MECHI ZA MWISHO MWISHONI MWA WIKI HII

    TFF YAZIONYA TIMU ZA DARAJA LA KWANZA KUTOPANGA MATOKEO KATIKA MECHI ZA MWISHO MWISHONI MWA WIKI HII

     SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limezitahadharisha timu kutojaribu kupanga matokeo katika mechi za mwisho za Ligi Daraja la Kwanza mwisho...
    Saturday, July 18, 2020
    DODOMA FC WAICHAPA 1-0 GWAMBINA NA KUTWAA UBINGWA LIGI DARAJA LA KWANZA TZ BARA

    DODOMA FC WAICHAPA 1-0 GWAMBINA NA KUTWAA UBINGWA LIGI DARAJA LA KWANZA TZ BARA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Dodoma FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya ushindi 1-0 ...
    Sunday, April 05, 2020
    KIKOSI CHA TIGER YA MBEYA STEVEN MAPUNDA ‘GARRINCHA’ NDANI 1993

    KIKOSI CHA TIGER YA MBEYA STEVEN MAPUNDA ‘GARRINCHA’ NDANI 1993

    KIKOSI cha Tiger ya Mbeya mwaka 1993 kikiwa Uwanja wa Karume Dar es Salaam kabla ya mechi Benki Kuu (BoT) ya Dar es Salaam Daraja la Pili...
    Saturday, October 19, 2019
    MINZIRO NDIYE KOCHA MPYA WA PAMBA SC ‘TP LINDANDA ’BAADA YA MUHIBU KANU KUONDOKA

    MINZIRO NDIYE KOCHA MPYA WA PAMBA SC ‘TP LINDANDA ’BAADA YA MUHIBU KANU KUONDOKA

    Na Mwandishi Wetu, MWANZA UONGOZI wa Pamba SC ‘TP Lindanda’ ya Mwanza umeingia mkataba na Fred Felix Minziro kuwa kocha mpya wa klabu hiyo...
    Friday, October 11, 2019
    KAMATI YA BODI YA LIGI YAVIFUNGIA VIWANJA VYA MKWAKWANI, NAMFUA NA JAMHURI MORO

    KAMATI YA BODI YA LIGI YAVIFUNGIA VIWANJA VYA MKWAKWANI, NAMFUA NA JAMHURI MORO

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungia Uwanja wa Mkwakw...
    MENEJA WA RHINO RANGERS NA WACHEZAJI WAWILI WATIWA HATIANI KWA KUMPIGA REFA GEITA

    MENEJA WA RHINO RANGERS NA WACHEZAJI WAWILI WATIWA HATIANI KWA KUMPIGA REFA GEITA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MENEJA wa klabu ya Rhino Rangers, Ali Rhumba amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania ...
    Thursday, May 23, 2019
    GEITA GOLD, PAMBA SC ZAFUZU ‘PLAY-OFF’ KUPANDA LIGI KUU

    GEITA GOLD, PAMBA SC ZAFUZU ‘PLAY-OFF’ KUPANDA LIGI KUU

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU za Pamba SC ya Mwanza na Geita Gold SC ya Geita, zimefuzu kucheza hatua ya mtoano (play-off) kuwania...
    Friday, February 15, 2019
    KAMATI YA NIDHAMU YA TFF YAMFUNGIA MIEZI MITATU KATIBU WA RHINO RANGERS

    KAMATI YA NIDHAMU YA TFF YAMFUNGIA MIEZI MITATU KATIBU WA RHINO RANGERS

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia Katibu Mkuu wa Rhino Rangers, Dickson M...
    Wednesday, February 13, 2019
    Monday, October 08, 2018
    BODI YAZIONYA VIKALI ASHANTI, KILUVYA UNITED NA MASHUJAA KWA MAKOSA DARAJA LA KWANZA

    BODI YAZIONYA VIKALI ASHANTI, KILUVYA UNITED NA MASHUJAA KWA MAKOSA DARAJA LA KWANZA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), maarufu kama Kamati ya Saa...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top