Kocha Mjerumani wa Liverpool, Jurgen Klopp akifurahia na mchezaji wake, Msenegali Sadio Mane mazoezini viwanja vya Melwood jana kujiandaa na mchezo dhidi ya Newcastle United kesho. Mane anarejea kuelekea mechi ya kesho baada ya kukosekana katika mchezo uliopita dhidi ya Leicester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment