Dani Ceballos akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao yote mawili dakika za 10 na 43 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Alaves leo Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz kwenye mchezo wa La Liga. Bao la wenyeji limefungwa na Manu Garcia dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment