-
HABARI ZA ASIA
INTER MILAN NA MONTERREY ZASONGA MBELE KOMBE KA DUNIA
TIMU ya Inter Milan ya Italia imefanikiwa kwenda Hatua ya Mtoa ya Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
MAMELODI SUNDOWNS NAYO YATOLEWA KOMBE LA DUNIA
TIMU ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imekamilisha safari ya timu za Afrika kurejea nyumbani baada ya kutolewa pia katika…
Read More » -
HABARI MOTOMOTO
RAIS DK SAMIA AITUMIA YANGA SALMU KUTOKA MSUMBIJI…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewatumia salamu za Pongezi Yanga SC kwa kutwaa taji…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
YANGA WAITWANGA SIMBA 2-0 NA KUTWAA UBINGWA WA NNE MFULULIZO LIGI KUU
TIMU ya Young Africans imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mara ya nne mfululizo na…
Read More » -
HABARI ZA AFRIKA
ESPERANCE NAYO YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA, YATANDIKWA 3-0 NA CHELSEA
TIMU ya Espérance ya Tunisia imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada ya…
Read More » -
HABARI ZA KIMATAIFA
BENFICA YAIKANDA BAYERN MUNICH 1-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA
TIMU ya Benfica ya Ureno imefanikiwa kwenda Hatua ya Mtoano ya Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia ya FIFA baada…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
DK. MSOLLA, ALLY MAYAY WAJITOKEZA KUMNG’OA WALLACE KARIA TFF
ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dk. Mshindo Mbette Msolla ni kati ya watu sita waiojitokeza kuwania Urais wa…
Read More » -
HABARI ZA NYUMBANI
MAZINGAOMBWE YAENDELEA MECHI YA WATANI, SIMBA HAWAKUTOKEA MKUTANO WA MAKOCHA
KLABU ya Simba haikushiriki Mkutano wa kiufundi na Waandishi wa Habari leo kuelekea mchezo wa kesho (Juni 25, 2025) dhidi…
Read More » -
HABARI ZA KIMATAIFA
INTER MIAMI, PALMEIRAS ZATINGA MTOANO KLABU BINGWA YA DUNIA
TIMU za Inter Miami CF United ya Marekani na Palmeiras ya Brazil zimefuzu hatua ya 16 Bora Kombe la Klabu…
Read More » -
HABARI ZA KIMATAIFA
PSG NA BOTAFOGO ZASONGA MBELE KLABU BINGWA YA DUNIA YA FIFA
TIMU za Botafogo Brazil na Paris Saint-Germain ya Ufaransa zimefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora Kombe la Klabu Bingwa ya…
Read More »