• HABARI MPYA

    Showing posts with label SINGIDA UNITED. Show all posts
    Showing posts with label SINGIDA UNITED. Show all posts
    Wednesday, June 04, 2025
    REFA SASII AFUNGIWA MIEZI SITA, FADLU NA SOWAH WATOZWA FAINI

    REFA SASII AFUNGIWA MIEZI SITA, FADLU NA SOWAH WATOZWA FAINI

    REFA Heri Sasii amefungiwa miezi sita kwa kushindwa kuumudu mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya wenyeji, Simba SC dhidi ya Sing...
    Thursday, April 24, 2025
    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    JKU YAITUPA NJE SINGIDA BLACK STARS KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya JKU imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa penalti 6-5 dhidi ya Singida Black Stars jioni ya leo ...
    Saturday, April 19, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwa...
    Wednesday, April 16, 2025
    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga watamenyana na wenyeji, KVZ katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Muungano Aprili 25 kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa New ...
    YANGA NA JKT TANGA, SIMBA NA SINGIDA MANYARA MEI 16

    YANGA NA JKT TANGA, SIMBA NA SINGIDA MANYARA MEI 16

    MABINGWA watetezi, Yanga SC watasafiri hadi Tanga kwa ajili ya mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) dhidi ya...
    Monday, April 14, 2025
    NI SINGIDA BLACK STARS NA SIMBA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    NI SINGIDA BLACK STARS NA SIMBA NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB

    TIMU ya Singida Black Stars imefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki...
    Thursday, April 10, 2025
    COASTAL UNION YAICHARAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1 MKWAKWANI

    COASTAL UNION YAICHARAZA SINGIDA BLACK STARS 2-1 MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Union wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni y...
    Sunday, April 06, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAIKANDA AZAM FC 1-0 UWANJA WA LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAIKANDA AZAM FC 1-0 UWANJA WA LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
    Wednesday, April 02, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA FOUNTAIN GATE 3-0 MANYARA

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA FOUNTAIN GATE 3-0 MANYARA

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
    Monday, March 24, 2025
    Thursday, March 13, 2025
    Thursday, March 06, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA NAMUNGO 1-0 PALE PALE RUANGWA

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA NAMUNGO 1-0 PALE PALE RUANGWA

    BAO pekee la mshambuliaji Mghana, Jonathan Sowah dakika ya 79 limeipa Singida Black Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika...
    Sunday, March 02, 2025
    Wednesday, February 26, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAITANDIKA MASHUJAA FC 3-0 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAITANDIKA MASHUJAA FC 3-0 LITI

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya le...
    Sunday, February 23, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SARE KWA PAMBA, 2-2 LITI

    SINGIDA BLACK STARS YAAMBULIA SARE KWA PAMBA, 2-2 LITI

    WENYEJI, Singida Black Stars wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mcha...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top