• HABARI MPYA

    Showing posts with label SERENGETI GIRLS. Show all posts
    Showing posts with label SERENGETI GIRLS. Show all posts
    Saturday, March 15, 2025
    SERENGETI GIRLS YATOLEWA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KWA VIPIGO ‘DABO’

    SERENGETI GIRLS YATOLEWA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KWA VIPIGO ‘DABO’

    TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya mbio za kuwania tiketi ya Kombe la Dunia 2025 baada ya...
    Sunday, March 09, 2025
    SERENGETI GIRLS YATANDIKWA 3-0 NA ZAMBIA KIFUZU KOMBE LA DUNIA U17

    SERENGETI GIRLS YATANDIKWA 3-0 NA ZAMBIA KIFUZU KOMBE LA DUNIA U17

    TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefungwa mabao 3-0 na Zambia katika mchezo wa kwanza Raundui ya Pili ...
    Saturday, September 07, 2024
    SERENGETI GIRLS WATWAA UBINGWA UNAF BAADA YA SARE NA TUNISIA

    SERENGETI GIRLS WATWAA UBINGWA UNAF BAADA YA SARE NA TUNISIA

    TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls jana ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya Kaskazini mwa Afrika (U...
    Thursday, September 05, 2024
    Tuesday, September 03, 2024
    Sunday, February 11, 2024
    SERENGETI GIRLS YATOLEWA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    SERENGETI GIRLS YATOLEWA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia ...
    Saturday, February 03, 2024
    SERENGETI BOYS WAFUNGWA 5-0 NA MABINTI WA KIZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    SERENGETI BOYS WAFUNGWA 5-0 NA MABINTI WA KIZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefungwa mabao 5-0 na wenyeji, Zambia katika mchezo wa kwanza Raundi ...
    Monday, January 15, 2024
    MABINTI 25 WAITWA SERENGETI GIRLS YA KUIVAA ZAMBIA KOMBE LA DUNIA

    MABINTI 25 WAITWA SERENGETI GIRLS YA KUIVAA ZAMBIA KOMBE LA DUNIA

    KOCHA Bakari Nyundo Shime ameteua wachezaji 25 kuunda timu ya taifa ya wasichana kitakachoingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Zambia ...
    Monday, September 25, 2023
    Saturday, September 23, 2023
    Saturday, October 22, 2022
    SERENGETI GIRLS YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA

    SERENGETI GIRLS YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka wa 17, Serengeti Girls imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Dunia U17 baada ya kuchapwa 3-...
    Tuesday, October 18, 2022
    Saturday, October 15, 2022
    SERENGETI GIRLS YAWACHAPA UFARANSA 2-1 KOMBE LA DUNIA

    SERENGETI GIRLS YAWACHAPA UFARANSA 2-1 KOMBE LA DUNIA

    TANZANIA imeonyesha uimara katika michuano ya Kombe la Dunia Wasichana U17 baada ya kuwachapa Ufaransa mabao 2-1 leo katika mchezo wa Kundi ...
    Wednesday, October 12, 2022
    Tuesday, July 05, 2022
    Friday, June 24, 2022
    SERENGETI GIRLS YAPANGWA NA CANADA, JAPANA NA UFARANSA

    SERENGETI GIRLS YAPANGWA NA CANADA, JAPANA NA UFARANSA

    TANZANIA imepangwa Kundi D pamoja na Canada, Japan na Ufaransa katika Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake chini ya umri wa miaka 17 zinazo...
    Wednesday, June 08, 2022
    Tuesday, June 07, 2022
    SERENGETI GIRLS WAPEWA HESHIMA YA KIPEKEE BUNGENI

    SERENGETI GIRLS WAPEWA HESHIMA YA KIPEKEE BUNGENI

    TIMU ya taifa ya wanawake ya soka chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls) imeweka  historia  ya kuwa  timu ya  kwanza kupewa heshima na ...
    Monday, June 06, 2022
    TIMU ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2022

    TIMU ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2022

    TIMU za Morocco, Nigeria na Tanzania ndiyo zitakazoiwakilisha Afrika kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Wasichana U17 baadaye mwaka huu nch...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top