MESSI AFUNGA MABAO MANNE, BARCELONA YASHINDA 6-1 LA LIGA
Lionel Messi akishangilia kigumu baada ya kuifungia Barcelona mabao manne dakika za 20 kwa penalti, 59, 62 na 87 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Eibar kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Paulinho dakika ya 38 na Denis Suarez dakika ya 53PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment