• HABARI MPYA

    Showing posts with label TAIFA STARS. Show all posts
    Showing posts with label TAIFA STARS. Show all posts
    Sunday, March 29, 2026
    TANZANIA YAIBAMIZA MACAU 6-0 MICHUANO YA FIFA YA FIFA SERIES RWANDA

    TANZANIA YAIBAMIZA MACAU 6-0 MICHUANO YA FIFA YA FIFA SERIES RWANDA

    TIMU ya Tanzania imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Macau katika mchezo wa Kundi B kuwania nafasi tatu michuano ya FIFA Series jioni ...
    Thursday, March 26, 2026
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA LIECHTENSTEIN MICHUANO YA FIFA SERIES KIGALI

    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA LIECHTENSTEIN MICHUANO YA FIFA SERIES KIGALI

    TANZANIA imefungwa bao 1-0 na Liechtenstein katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kundi B michuano ya FIFA Series jioni ya leo Uwanja wa Pele Jij...
    Monday, January 26, 2026
    Sunday, January 18, 2026
    YANGA SC YAMSAJILI KIPA ALIYEIFAKIA STARS DHIDI YA TUNISIA NA MOROCCO AFCON

    YANGA SC YAMSAJILI KIPA ALIYEIFAKIA STARS DHIDI YA TUNISIA NA MOROCCO AFCON

    KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Hussein Masalanga (33) kuwa mchezaji wake mpya dirisha hili dogo akijiunga na Wananchi kutoka Singida Bla...
    Saturday, January 10, 2026
    RAIS DK SAMIA AWAALIKA IKULU TAIFA STARS KWA PONGEZI ZA 16 BORA AFCON

    RAIS DK SAMIA AWAALIKA IKULU TAIFA STARS KWA PONGEZI ZA 16 BORA AFCON

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ya sika ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kwa kufika Hatu...
    Sunday, January 04, 2026
    TAIFA STARS YATOLEWA AFCON, YACHAPWA 1-0 NA MOROCCO, ILA REFA…

    TAIFA STARS YATOLEWA AFCON, YACHAPWA 1-0 NA MOROCCO, ILA REFA…

    SAFARI ya Tanzania katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeishia Hatua ya 16 Bora baada ya kutolewa na wenyeji, Morocco...
    Saturday, January 03, 2026
    TAIFA STARS WAZAWADIWA SH. MILIONI 500 BAADA YA KUFUZU KUTINGA 16 BORA AFCON

    TAIFA STARS WAZAWADIWA SH. MILIONI 500 BAADA YA KUFUZU KUTINGA 16 BORA AFCON

    SERIKALI kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameizawadia timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...
    Tuesday, December 30, 2025
    FEI TOTO AIPELEKA TAIFA STARS 16 BORA AFCON

    FEI TOTO AIPELEKA TAIFA STARS 16 BORA AFCON

    TANZANIA imeweka rekodi ya kufuzu Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kwa mara ya kwanza kihistoria licha ya...
    Saturday, December 27, 2025
    TAIFA STARS YATOA SARE 1-1 NA UGANDA MECHI YA KUNDI C AFCON

    TAIFA STARS YATOA SARE 1-1 NA UGANDA MECHI YA KUNDI C AFCON

    TANZANIA na Uganda zimegawana pointi kwa sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi C Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) us...
    Tuesday, December 23, 2025
    Wednesday, December 17, 2025
    Tuesday, December 16, 2025
    Monday, December 15, 2025
    Sunday, December 14, 2025
    Saturday, December 13, 2025
    SULEIMAN MWALIMU AONGEZWA TAIFA STARS

    SULEIMAN MWALIMU AONGEZWA TAIFA STARS

    WINGA wa Wydad Athletics ya Morocco anayecheza kwa mkopo Simba SC, Sumeiman Mwalimu ‘Gomez’ ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ta...
    Tuesday, December 09, 2025
    Monday, December 08, 2025
    Wednesday, December 03, 2025
    GAMONDI AITA WACHEZAJI 53 KIKOSI CHA AWALI CHA TAIFSA STARS YA AFCON

    GAMONDI AITA WACHEZAJI 53 KIKOSI CHA AWALI CHA TAIFSA STARS YA AFCON

    KOCHA Muargentina, Miguel Angel Gamondi ameita wachezaji 53 kuunda kikosi cha awali cha timu ya taifa ya taifa ya Tanzania kwa ajili ya Fain...
    Wednesday, September 10, 2025
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA NIGER ZANZIBAR KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA NIGER ZANZIBAR KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana ilichapwa bao 1-0 na Niger pungufu katika mchezo wa Kundi E kufuzu Fainali za Kombe la D...
    Sunday, June 08, 2025
    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA MADAGASCAR MECHI YA UFUNGUZI COSAFA

    TAIFA STARS YACHAPWA 1-0 NA MADAGASCAR MECHI YA UFUNGUZI COSAFA

    TANZANIA jana ilianza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Kusini mwa Afrika (COSAFA) baada ya kufungwa bao 1-0 na Madagascar Uwanja wa Fr...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top